Na kweli Diamond na wengine mna damu ya kunguni


Hapa sasa nimekuelewa mkuu, hata mimi napenda tuheshimu maoni ya wengine, sikupenda tu Diamond alivyotumia ile picha ya Nyerere pale kwa maudhui ya wimbo wenyewe, unaweza ona niliwaza nini mana haujapita muda mrefu Makongoro Nyerere amelizungumzia hilo.

I don't care kuhusu hao wengine but nampenda dogo ndio mana nilidhani haikuwa sahihi kwa yeye kuweka element za mtafaruku huu wa Makonda na Gwajima, I could be wrong but yeah, that's my own honest opinions.
[HASHTAG]#Pamoja[/HASHTAG]
 

Bravo.....

Uwe na wakati mwema...,
 
'No research no right to speak' inatusumbua sana hii kitu watanganyika! Tuna penda kuongea bila kuwa na data za kutosha, hata kama data zipo uelewa wa mambo uko low! Wanasema mara nyingi ukiropoka watu wanapima level ya uelewa wako, please piga kimya kama huna data , ukiongea facts wala huitaji ku retreat! Unasimamia unachokiamini! Na watu watakuelewa, na si lazima iwe leo,
 
SINGLE TOUCH "DOUBLE MANIFESTATION"..... ngoja niandae bundle la kutosha.
 
Hivi huyo diamond kaacha kuvaa sketi jukwaani ??[emoji126] [emoji126]
 
Je unadhani hii nyimbo ya kiboya itasimama CLOUDS kama jiwe la week??
Cdhan kama itapata air time kama nyimbo zake..
 
Je unadhani hii nyimbo ya kiboya itasimama CLOUDS kama jiwe la week??
Cdhan kama itapata air time kama nyimbo zake..
Maadamu mabodaboda tumeshainyaka hakuna shida tutawasikilizisha abiria mpaka uwakae.
 
Gwajima atatuambia kama mshkaji analea watoto wa jamaa mwingine..... Gwajima gwiji la habari.. Ukweli na uhakika..
 
Diamond [emoji184] baada ya Bosi wake wa Freemason kufariiki inasemekana ataporoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…