GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninawalaumu sana tu pia waliokuwa Msibani kwani hapo ndipo palikuwa patamu na Wao kumaliza Shughuli kabisa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Kichwa chake kilivyo yaani kabisa utegemee na Akili Timamu zikae humo? Thubutu......!!Kwamba halina akili🥹🥹
Kichwa cha kuvalia kibaraghashiaKwa Kichwa chake kilivyo yaani kabisa utegemee na Akili Timamu zikae humo? Thubutu......!!
Picha ipo TNG ambapo Juha kamwakilisha Aliyemtuma kufanya Tukio la Kusikitisha ambalo ndilo limempeleka huko.Habari bila picture???
Mbowe nae sometimes anakera kwani angewaacha tu Wana TA nao wafanye yao kwa Faida ya Tanzania yetu nzima.Amshukuru sana Mbowe, ameponea chupuchupu.
Kila jambo na wakati wakeMbowe nae sometimes anakera kwani angewaacha tu Wana TA nao wafanye yao kwa Faida ya Tanzania yetu nzima.
Ukimaanisha......!Kila jambo na wakati wake
Jamaa waliweka kamtego kuhalalisha kwa nini CHADEMA hufanyiwa wanachofanyiwa.Ukimaanisha......!
Una akili sana mkuuJamaa waliweka kamtego kuhalalisha kwa nini CHADEMA hufanyiwa wanachofanyiwa.
Mbowe kaepusha balaa. Unaweza kudhani ule ni ujuha lakini ni mkakati Mahsusi.