Na Mchezaji Bora MVP ni Luis Jose Miqsonne

Na Mchezaji Bora MVP ni Luis Jose Miqsonne

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
images.jpeg


Mabingwa ni Simba Sc
Mfungaji bora ni John Bocco wa Simba Sc
Mchezaji bora ni Luis Miqsonne wa Simba Sc
Kipa bora ni Aishi Manula wa Simba SC
Beki Bora ni Joash Onyango wa Simba Sc

Hawa Simba ukiwachekea wanachukua kila kitu
 
View attachment 1850715

Mabingwa ni Simba Sc
Mfungaji bora ni John Bocco wa Simba Sc
Mchezaji bora ni Luis Miqsonne wa Simba Sc
Kipa bora ni Aishi Manula wa Simba SC
Beki Bora ni Joash Onyango wa Simba Sc

Hawa Simba ukiwachekea wanachukua kila kitu
Nakubaliana na wewe katika maeneo yote isipokuwa mchezaji Bora (MVP), Chama kwenye VPL amewazidi wachezaji wote Tanzania kwa mbali amehusika katika mabao 22 ya Simba 7Goals 15 Assists. Luis anastahili MVP wa MO Award kwani ameongoza kwenye CAF Champions league na amefanya vizuri VPL japo kwenye VPL hakumfikia Chama.
 
Huhuhu, kwa wachezaji wale waliokuwa wanalala tu siku ya derby kweli Simba atachukua kila kitu
 
Bwalya akiendelea na moto wake, vile vyenga vya maudhi atakuwa fire msim ujao


Koment ya msimu hiii!!!

Naiscreen shot then naibandika ukutani sebleni kwangu ili ije inipe kumbukumbu.

Yule mtoto anaujua mpira. Alafu ni relaxed mind kama chama.

Hanaga papara kabisaaa!!!!

Namtabiria makubwa next season
💪💪💪💪💪💪
 
Back
Top Bottom