OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nakubaliana na wewe katika maeneo yote isipokuwa mchezaji Bora (MVP), Chama kwenye VPL amewazidi wachezaji wote Tanzania kwa mbali amehusika katika mabao 22 ya Simba 7Goals 15 Assists. Luis anastahili MVP wa MO Award kwani ameongoza kwenye CAF Champions league na amefanya vizuri VPL japo kwenye VPL hakumfikia Chama.View attachment 1850715
Mabingwa ni Simba Sc
Mfungaji bora ni John Bocco wa Simba Sc
Mchezaji bora ni Luis Miqsonne wa Simba Sc
Kipa bora ni Aishi Manula wa Simba SC
Beki Bora ni Joash Onyango wa Simba Sc
Hawa Simba ukiwachekea wanachukua kila kitu
Bwalya akiendelea na moto wake, vile vyenga vya maudhi atakuwa fire msim ujao
tupe maoni yako mkuu,huko Utopolo nani anaweza hata kunusa tuHuhuhu, kwa wachezaji wale waliokuwa wanalala tu siku ya derby kweli Simba atachukua kila kitu
Labda mzee mpili tu basitupe maoni yake mkuu,huko Utopolo nani anaweza hata kunusa tu
Bwalya akiendelea na moto wake, vile vyenga vya maudhi atakuwa fire msim ujao
Chama masterUmesahau kiungo bora mzee, au haina haja si anajulikana.
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuuu uto wapatemoTff wangeweka na basi bora la timu ili na wengine wapatemo hata kiduchu tu.
Sana Bwalya msimu ujao atakuwa wa moto sanaBwalya akiendelea na moto wake, vile vyenga vya maudhi atakuwa fire msim ujao
Najua Chama anastahili sana hii tuzo lakini kwangu mimi kura yangu ningempatia Louis Miqsonne,,,huyu bwana mdogo ameonyesha ukomavu sana msimu huu, kwangu mimi anastahili💪Chama vs Miqsonne ni mpambano mkali,yeyote anastahili.