Hahaha all the best watu mmeamua ..
lakini wewe Akili Kichwani mbona wadada zaidi ya watatu au wanne wanatafuta partiners hapa JF na post zipo tayari kwa nini usingeanzia hapo?
Hawa wanatuzuga sisi wanaume wametundika maombi lakini hawajibu PM sijui wanatishia?
haloo kumbe mshakuwa masweetheart mala hii..🙂
Mamitonakuheshm sana plz jamaa moyo wake umedongokea kwangu wengine wa nn
wagomabanao................
AK bana........
Hehehehehe.hapa hakuna kitu.stuka Pearl.Jamani niko serious, nasaka mchumba ..naona upweke sasa unataka kunitoa roho
Sifa
1. Awe mwanamke (sihitaji ma-BWABWA)
2. Awe tayari kwa ndoa ya kikristo (asahau kabisa mambo ya beijing)
3. Umri wa serikali na kuendelea
4. Kiburi na suala zima la tabia kwangu sio issue, nina uhakika nitaweza kmdhibiti na asifurukute
5. Elimu-yoyote (ili mradi awe trainable, nitamu-upgrade hadi anapoweza kufika)
6. Kazi -si kigezo, mi ni mwanume halisi, (sio wale anaoimba jDee kuwa kama mabinti)
Mtoto mzuri pearl and other JF singles are highly encouraged to apply
Matokeo ya zoezi hili yatatolewa baada ya mashauriano na mchumba mteule (kama hatakuwa tayari kutangazwa, basi tutauchuna) .
Maombi yote yatumwe kwa private messege (PM) tu
Hahaha all the best watu mmeamua ..
lakini wewe Akili Kichwani mbona wadada zaidi ya watatu au wanne wanatafuta partiners hapa JF na post zipo tayari kwa nini usingeanzia hapo?
Binamu kumbe na wewe huwa unatupa ndoana unakaukiwa ehehehee inawezekena ni wanaume wameweka majina ya kike ..Pole!!
Samahani mamaa Pearl am not sure kama uko serious lakini ..pls confirm ...🙂
JS aanze michango yake
Hehehehehe.hapa hakuna kitu.stuka Pearl.
Hehehehehe.hapa hakuna kitu.stuka Pearl.
mengine madume mama...............tayari nimeishawascreen wote............... after all .................. niko na pearl till death do us part............................
Samahani mamaa Pearl am not sure kama uko serious lakini ..pls confirm ...🙂
JS aanze michango yake
Huyo Pearl mwenyewe amekaa kichunaji mno asipo angalia AK atachunwa mpaka akome.
Hehehehehe.hapa hakuna kitu.stuka Pearl.
akili tupatie anwani upate maombi .....
eeeeh mbn fitna nyingi sana?jamani yani nimeshakuwa mchuna ng'ozi?SWTY HAWAJUI TULIPOTOKA ACHANA NA MANENO YAO
jamani wewe charity, umeishawahi kumwagiwa maji ya moto usoni?????????????? Unamchezea pearl eeeeh.................
Akili tupatie anwani upate maombi .....