Na mimi leo Nimegundua Kuhusu Jogoo!!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Wafugaji wa kuku nadhani mtakubaliana na mimi,Jogoo anaefugwa na kupewa chakula chenye Afya na maadili na nidhamu ya hali yajuu huwa anaamsha(Anawika) Usiku mara Mbili Tu na si zaidi ya Hapo yaani namaanisha Saa9 na 11Asbh Tu!! Unajua kwa nini? Sababu moja inajulikana na wengi Sitaitaja mnaijua ndio Ila hii ya saa Tisa tunaijua Wanandoa Tu kama unabisha Angalia sehemu ambapo watu hawajao Au wanaishi Single Tupu Kama utasikia jogoo anawika mida ya saa9usiku(Ili iweje sasa).Najua kuna watu watabisha kwa kuwa hajaandika Mzungu ugunduzi huu....Nimeandika mimi No Escape. Usiku mwema
 
Nafkiri atakuwa jogoo wa Nikki Mbishi huyo.
 
Ni kweli kabsa
 
Dah...ugunduzi bila ukokotozi au uwianishi wa namba sawa na bure tu[emoji2960]
 
Hahahaha

Kwa hiyo jogoo mbilo zinawika kwa muda mmoja

Basi ugunduzi wako tuuite parallel theory of joogoos "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…