Na mimi mkazi wa Chato nimepokea barua ya kunizuia kuingia Kariakoo Shimoni hata sipajui hivi ndo wapi?

Na mimi mkazi wa Chato nimepokea barua ya kunizuia kuingia Kariakoo Shimoni hata sipajui hivi ndo wapi?

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Mimi sifi leo nmeianza mwezi mpya vibaya jaman, yaani leo Asubuhi naamka tu nakuta ujumbe kwenye simu yangu ukisema:

KUANZIA LEO siruhusiwi kukanyaga Kariakoo Shimoni kwa sababu zifuatazo!

- Kwanza sijui kuvuka barabara za lami

- Pili, uchafu wangu wa kutokufua na kuoga naweza leta kunguni wa Chato kuwaleta mjini.

- Tatu sjui Kishwahili vizuri kila nikiongea mimi nakandiza sana.

Nne na nyingine nimesahau ila sasa najiuliza mimi tangu nimezaliwa sijawahi kufika Kariakoo na wala sipajui na sina Limpango la kwendaga huko Kariakoogi sasa kwanini nazuiliwa?

Ujumbe umfikie Makonda ausome na autafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka kioo chini ardhini Vua nguo zote kisha simama juu yake huku umetanua miguu Utakuona kariakoo shimoni
 
Hiyo
tapatalk_1579361798462.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom