Na mimi nimegundua upenyo wa tozo kwenye vibao vya mitaa/makazi

Na mimi nimegundua upenyo wa tozo kwenye vibao vya mitaa/makazi

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Mapendekezo yangu;

1. Yule mtu (binafsi) ambaye jina lake limebahatika kuchukua jina la mtaa, alipe 50,000/= kama ni kiongozi (DED, DC, RC n.k), kama ni mtumishi wa kawaida wa umma alipe 20,000/= na kama NI mwananchi wa kawaida alipe 10,000/=.

Jina lako kutumika na serikali ni heshima (baraka) kubwa inayopaswa kulipiwa. Mbona gari analonunua mtu mwenyewe akiweka tu plate yenye jina lake nasikia analipia?!

2. Taasisi ambayo imebeba jina la mtaa ilipe 100,000/=

Kwa tathmini yangu ya haraka billioni 200 zitapatikana.

Karibuni kwa support na maboresho wadau!
 
Back
Top Bottom