Na mimi nimo ndani.

Na mimi nimo ndani.

Makendelu

Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
13
Reaction score
7
Ni furaha kwangu kujiunga na jamii forum naomba ushirikiano wenu,naheshimu mawazo yenu kwa kua wengi wenu mnaitakia nchi yetu mema wakati huu mgumu kiuchumi.
 
eeeer...karibu mkuu.......
jina lako tu nimelipenda kwa kweli
 
Ni furaha kwangu kujiunga na jamii forum naomba ushirikiano wenu,naheshimu mawazo yenu kwa kua wengi wenu mnaitakia nchi yetu mema wakati huu mgumu kiuchumi.

aiseeeee babaangu mimi ndie mpokeaji mkuu hapa embu 2ma vocha ya buku 2 hii namba 0715800800
 
Acha kupiga mizinga wageni kama umefulia mbona kuna pedeshee Bishanga anaweza kukutoa....lol.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom