Na miye nimo.

Na miye nimo.

Karibu sana mama, ujisikie upo nyumbani, nimefuraia hiyo lafudhi yako ya kimwambao
 
Karibu shosti kwenye mjadala ushindwe weye kujiachia....................
 
Ahsanteni sana. Jamani kumbe nyie ni wakarimu.
 
Karibu Shostito... Kuna Jamaa mnafanana lugha hapa aitwa Boflo... amekaa kimwambao sana...
 
Karibu JF ila hiyo Avatar yako ????...PJ where are you...ukaribisho wako naumiss sana mkuu.
 
Karibu ndugu!
Ila humu mjadalani tuna sheria naomba usiwe mvivu sana wa kuperuzi hapa na pale.
Inshort hata sisi tulikarbishwa hivyo si vibaya tukafanya hivyo kwako:

  • Epuka Kashfa na maneno ya kuweza kumdhalilisha mtu.
  • Post thread katika sehemu husika ili kuondoa mkanganyo kwa wajumbe wengine.
Mengine wajumbe wapo watakusaidia atiii, Kikubwa karibu
 
Karibu Sana Shostito, mie jina nimelipenda!
 
karibu sana shostito itabidi uchukue fomu ya kugombea ubunge
 
Back
Top Bottom