[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ingekuwa kweli kwa jinsi ambavyo tungependana wewe hata ukute ndiyo nai... ungeninyanyua na kuniambia
Honey twende nyumbani.
Sikoseagi mkuuna hujawahi kumeza mate bure jamaa yangu!! [emoji1]
[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baadae nataka maelezo mnataka tufe humuHakuna nikufichalo... Hakianani.
Comrade.....mie nasingiziwa natamani kweli kweli yasemwayo yangekuwa kweli ningenenepa mie mtoto wa mwanamke mwenzenu.
Sijakubali waongeze list haiwezekan waonewe wawili tuKwahiyo nani kashinda ukiacha Daby Nyani Ngabu ?
Au ndo wale wa chinichiniBae... Misimo kwenye hiyo list ya kwenda dhambini, hapa ninamtumikia tu Mungu hapa Toroka Ukuje Tabata Dar.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Unataka ujue nini bibieKwahiyo nani kashinda ukiacha Daby Nyani Ngabu ?
[emoji119] [emoji119]Next time mkuu andaa list ya wanawake wenye wanaume wengi jf...
I hope wanapenda mambo ya 50/50..[emoji41]
Msife bhana bado tunawahitaji pengo lenu halizibiki.Baadae nataka maelezo mnataka tufe humu
Mbona kama umepotea njia
Hivi kweli nawe unanishindanisha? Kai kaiKwahiyo nani kashinda ukiacha Daby Nyani Ngabu ?
Mwenza unauliza makofi polisiKwahiyo nani kashinda ukiacha Daby Nyani Ngabu ?
Bae...Huko chini mimgeni, labda huku juu tu....[emoji13] [emoji13]Au ndo wale wa chinichini
hizi hujuma tu.Comrade.....
Naona hapo unahofika kama umekanyaga kaa la moto....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ongeza basi?Sijakubali waongeze list haiwezekan waonewe wawili tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kweli uonevu lakini. Kwahiyo ...... au basi. Mi naanza kushusha list sasa hivi hapa. Sipendi baby zangu waoneweSijakubali waongeze list haiwezekan waonewe wawili tu