SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
[emoji23] [emoji23] umeanza sasa...leo lini kwani?Pouwah za wewe naona ubuyu wangu ukakimbia nao
Mambo ya kung-Fu [emoji3][emoji3][emoji3]Sinywi energy drink mie
Heinken mwenyewe naitaka hapo umeitaja mate yamejaaa aisee kabeer katamu haka kabaridiiiiiNiagizie Heineken ya baridi hebu
Mmh hukumbuki uliniambia kesho yake jaman utamtuma kijana wako[emoji23] [emoji23] umeanza sasa...leo lini kwani?
Hayo mavinywaji yana wenyewe me hapana jamanMambo ya kung-Fu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ah wew shunie njoo kule nakusubir fasta basMmh hukumbuki uliniambia kesho yake jaman utamtuma kijana wako
Leo na ww umeamua kuniumbua ee....pumbavuuuuuuuuUringe?
Ungekuwa na atleast na kachura ka kuzugia kwma ka mami wa clouds kidogo ningekuelewa
NakujaAh wew shunie njoo kule nakusubir fasta bas
Pole polee basi..Hayo mavinywaji yana wenyewe me hapana jaman
Nitakusemea kwa mod.Leo na ww umeamua kuniumbua ee....pumbavuuuuuuuu
Hapa jfYukwapi?
WivuuuNitakusemea kwa mod.
bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni Bwana, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema Bwana,
Yeremia 9:24
Moyo mtakatifu wa yesu ukuangaze rohoni mwako
Amen. Na iwe hivyo kwako pia. Usiwe kwenye hii orodha.
Shikamoo Samaritan jamanAmen. Na iwe hivyo kwako pia. Usiwe kwenye hii orodha