Nimekumiss pia mume... Nani amekuteka jamaniMke ...nimekumis
Haahahhaah mbona unawaonea hao wawili wengine umeacha au mpaka tutaje hapa[emoji85][emoji85][emoji85]weee...ushaona marais wastaafu wanatolewa kwenye kamati kuu?
Mtoe Tafadhali, unamkosea heshima mchepuko wanguweee...ushaona marais wastaafu wanatolewa kwenye kamati kuu?
Mke sorry sema kuna kikazii kiliniweka bize ila nakumis hatariNimekumiss pia mume... Nani amekuteka jamani
Jamani mume.... Usiniache hivyoMke sorry sema kuna kikazii kiliniweka bize ila nakumis hatari
Wala usiofuu make na network ilikuwa sio nzurii ila nimerudiiii [emoji8]Jamani mume.... Usiniache hivyo
Mmmmmmmh..Duh!
Mimi tena? Acha kunisingizia bana.
We mtoe tuunikimtoa huyo basi nilichoandika hakitakuwa na maana
Utetezi wako hauna nguvu kabisaSimo kabisa!
Unanisingizia tu!
Karibu mume[emoji8] [emoji8]Wala usiofuu make na network ilikuwa sio nzurii ila nimerudiiii [emoji8]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jana kuna wadada wawili walianzisha thread ambazo niliona ni za hovyo sn naona leo mkaka nae kaungana nao.
Mama Sabrina unaitwaJana kuna wadada wawili walianzisha thread ambazo niliona ni za hovyo sn naona leo mkaka nae kaungana nao.