Akapambane na hali yakeSasa je hatupo hapa kumfurahisha mtu sie
50/50 kwenye kheri tuu eeh?50/50 sio kwenye kila jambo shemeji
Eti wanasomaga tu hawachangiiSasa je hatupo hapa kumfurahisha mtu sie
Mnoooooo. Bora umejionaMi mchokozi eeeh😛😛
yuko vyema sana...on flight now!!
Eeeeeeh shari wanaume tuu50/50 kwenye kheri tuu eeh?
Eti na comment anasoma halafu anasema hajavutiwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Eti wanasomaga tu hawachangii
Kama hujapenda uzi ukisoma heading tu unachapa rapa.
Alichukua mkeMahari yako wapi?
Nimeitwa haraka eti kuna bomu linataka kulipuliwa nafika nakuta hakuna kituNikajua hujaona [emoji2][emoji2][emoji2]
Ahahhahaha natakiwa nimuulize eeKwanini hujamuulizia DJ Sepetu ?
Mke yupi?Alichukua mke
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji41][emoji41]
Alright
LoveAisee! Mlishindwa hata kunipa kadi ya mualiko kama za mchango ziliisha..?
Na masuruali mapana kama ya mashineni ,,jina tu unaitwa amwambikile nani akuandikeKuandikwa nacho kipaji
Sio unatoka huko tu na masarawili yako unategemea kuandikwa.
Mke mpendwa wa mr TMke yupi?
Hatutaki hup tutaleta wenyeweNext time mkuu andaa list ya wanawake wenye wanaume wengi jf...
I hope wanapenda mambo ya 50/50..[emoji41]
MmmhNina mume mmoja na mchepuko mmoja tuu
Hao Hao wanaume mnataka watende mema...hapo hapo mnawatakia shari..?Eeeeeeh shari wanaume tuu
hahahahahaaaNimeitwa haraka eti kuna bomu linataka kulipuliwa nafika nakuta hakuna kitu