mwangambaku
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 109
- 22
kofia la chuma lenye alama ya ( j ) la mwaka 1918 bei 250,000,000/=)
stova ya shaba yenye alama ya( kifaru) kwa chini ya mwaka 1937 bei 100,000,000/=
chemli ya 888 mwaka 1930 kwa chini ( j ) bei 90,000,000
shilingi mia mbili ya east africa ya mwaka 1950 imeandikwa georgivvs sextvs rex bei 150,000,000/=
bidhaa zote razima ziwe made ni germany
tuwasiliane 0685 31 23 26
Kofia la chuma lenye alama ya ( j ) la mwaka 1918 bei 250,000,000/=)
stova ya shaba yenye alama ya( kifaru) kwa chini ya mwaka 1937 bei 100,000,000/=
chemli ya 888 mwaka 1930 kwa chini ( j ) bei 90,000,000
shilingi mia mbili ya east africa ya mwaka 1950 imeandikwa georgivvs sextvs rex bei 150,000,000/=
bidhaa zote razima ziwe made ni germany
tuwasiliane 0685 31 23 26
Naitwa Mwangambaku , K Mwakikato ni mkazi wa Manzese kwa mfunga mbwa. naomba mnikaribishe jamvini nahitaji ushirikiano wenu asante!
siyo hilo kakahili kofia la chuma lenye alama j lipo old moshi.
okey! nenda kalilete mkuu tufanye biashara
KAMA SIKOSEI LINAFANANA HIVYO KAMA SI LENYEWE TUJULISHE
Acha kudharau wenzeko kwani unajua vipato vyote vya watu wa manzese? na pia hii biashara siyo razima mi niwe mwenye pesa naweza kuwa agent : acha hizo mkuuUmechanganyikiwa si bure!!!
tatizo ni kwamba hata vikiwepo hizo hela huna utaomba kuonewa huruma.
Umejiunga juzi tarehe tisa na umesema unatokea manzese kwa mfuga mmbwa hizo milion mia ngapi utazitoa wapi?
kwa hiyo kaka watu waliojiung muda mrefu hapa jamvini wanakipato kikubwa? mtu anaweza akaishi manzese au unakoishi wewe na akawa na kipato kikubwa kuliko hao wanaoishi huko ambako wewe unadhani wanakipato kikubwa ! ni vizuri ukazoea kukutana na watu wa aina zote usitegemee tu watu wakutangazia kuuza simu . magari ndiyo uwaone wa maana , hii ni biashara ambayo nalijua soko lake vizuri tu we lete bidhaa tufanye biashara asante kwa changa moto.Umechanganyikiwa si bure!!!
tatizo ni kwamba hata vikiwepo hizo hela huna utaomba kuonewa huruma.
Umejiunga juzi tarehe tisa na umesema unatokea manzese kwa mfuga mmbwa hizo milion mia ngapi utazitoa wapi?
cc Tyta