Na nyie huwa mnaota ndoto za kifalmefalme?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wajomba zangu Mimi usiku sijui niseme naotaga au najitungia tu movie mwenyewe kwamba namiliki utawaka mkubwa ninakuwa na magari mengi Kama alivyo diamond ila Mimi nakuwa natoa offer ya bia Sana yaani msafara Wangu una sindikizwa na magari 30 halafu namiliki kampuni Kama mo dewji yaani na Mimi nakuwa na team yangu ya mpira ila yenyewe haishindwagi inafunga tu..Tena pacha Wangu ndo star wa kwenye hiko kiasi...hio stori nayowaambia Ni ndoto za kizungu nyie hamuwezi kuzipata tunazipata watu ambao tuna dalili na uwezo wa kuwa Maraisi siku moja..nitawatala vizuri tu watu Wengi wenye uwezo mta onekana waziwazi kwani kutakuwa na kituo kikubwa Cha kisayansi..kwenye hio ndoto Mimi nakuwa na watoto Wengi kama laizer halafu pamoja na yote sijawahi kuota nachomwa Moto jehanam hio ndoto inakataaga kabisa kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…