Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Best kama hauna watu kama hawa kwenye ukoo wenu katoe sadaka ya LKUJIMALIZA asikwambie mtu,,,,,,yaani wachaga tunavumilia mengi sanaaaaa
Kuna magrp ya ukooo matajiri usiwaguse ati una ndugu yako mgonjwa aisee watakurudisha na vibokoooooooooo
Ila itokee yule mgonjwa kafaa best yaan hawaitaji hata kusema kiasi cha hela unasikia asbh kwenye whatsup
1.Ntatoa gari la kumpelekea marehemu na jeneza na maua
2.Mwingine ntatoa coaster 1 ama 2 kwenda na kurudi
4.Mwingine ntahudumia vyakula kule moshi mpaka shuhuli iishe
Hawa hawa wameona picha ya marehemu kwenye grp akiomba msaada wa fedha ama chochte kile aendelee kuishi wanarusha 15 000/20000 kufa uone aisee n basi tu maarehemu haoni kinachoendelea.....
Je, mnao watu wa aina hii kwenu..kama familia mmewasaidiaje na sisi wakae sawa waweze kujua kuchangia mtu akiwa hai....
Ubarikiwe