Na nyie kwenu mnao watu kama hawa?

Hao wapenda sifa za kijinga msibani watu wengi watamjua km yeye ndio kashiriki asilimia kubwa, lakini kwenye ugonjwa anaona atasifiwa na watu wachache.

Achana nao watakuumiza kichwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…