MwakiIV
Member
- Aug 31, 2018
- 79
- 138
Tuko kwenye msimu wa sikukuu, watu wanafurahia kuona Krismas na pia kufikia Mwishoni mwa mwaka.
Lakini kuna mtu anaumizwa na furaha za wengine, katikati ya furaha anatutumia message ya kutukumbusha Januari na mahitaji yake.
Mambo ya Januari nafikiri tungeyaacha Januari kwani kwa namna youote Mungu akituweka tutayakuta.
Sasa haya ya Disenba tukiyaacha yakapita hakuna namna tutayapa tena.
Tujipe furaha pia tuwe na utawala wa furaha zetu. Na wale waoga watuache tuponde mali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]