Tatizo kubwa sisi waswahili hatuishi kwa budget ila ukiwa mtu wa plan na kubudget mambo yako mbona kila kitu kina kwenda sawa tu.
Hivi nikuulize wewe mleta uzi ina maana haujui kabsa kama january kuna kulipia ada za watoto na mahitaji mengine ya shule na kujiandaa kwahilo kama hujajianda huo ni upumbavu.
Haya hapo unapoishi kama ni nyumba ya kupanga ina maana umejizima data kuwa kodi ya nyumba inatakiwa kulipwa au ulidhani nyumba niya babako.
Na wewe mfanyabiashara hiyo fremu ya biashara plus kodi za tra n.k ulitaka nani akulipie kama sio wewe