Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupanga ni kuchagua, kama hilo ni jema kwa wahusika basi linaweza kufanyika tu. We wako aliyepara F zote kamrisitishe ili apige zingine!Wakifeli muwaozeshe.
Nimeupokea ushauri wakoKupanga ni kuchagua, kama hilo ni jema kwa wahusika basi linaweza kufanyika tu. We wako aliyepara F zote kamrisitishe ili apige zingine!
Mwaka jana walitoa mwezi wa ngapiYatoeni bwana, watasubiri katika hali hii ya hofu hadi lini?!!!!!
NECTA YA KWETU NI WAJINGA SANA. Labda matokeo yamecollapse.....hawajawahi kuwa fasta hata siku mojaKenya National Examination Council,walitoa matokeo ya Form IV siku ya Ijumaa tarehe 20/01/2023 . Wanafunzi walimaliza kufanya mitihani tarehe 23/12/2022.Mitihani walianza kusahihisha January 02,2023.
NECTA tuige mfano wa wakenya mazuri huigwa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
January 15Mwaka jana walitoa mwezi wa ngapi
Hoja yako ni nini?!!!mtoa ni member since December 2022[emoji848][emoji116]View attachment 2491840