Na nyie Wanaume mjitahidi muwe na uanaume ndani yenu. Unakuta Mwanaume Fala/Kapoa mpaka basi

Wanawake mna matatizo sana, utasikia mimi nikipigwa hata kofi moja mapenzi yanaisha hapohapo maana sjawah kupigwa hata na wazaz wangu

Napenda mwanaume mpole, syo muongeaji, syo mkorof, mtulivu, mkimya


Hao ndo wanawake bhana... wakipata mpole, ndo utasikia kama huyu hapa mweka uzi[emoji3]
 
Kweli wanawake hamuelwek mara akuendeshe mara asikuendeshe[emoji3]
 
Fact ni kuwa wanawake wahuni wanapenda waolewe na wapole ili wawaendeshe, atafute msumbufu pemben aendelee kufanya uhun bila bughudha
 
Blood fools topics ..ovyo na bure kabisa hii..

Rubbish talks ...fools kabisa ..ptuuu
 
Miaka kadhaa iliyopita nilimlamba kofi mwanamke shule akzimia, na akazinduka baada ya masaa kama 5 hvi. Tangu hapo mkono wangu nimeuficha mfukoni, sipigi mwanamke, mwanamke ni mwepesi kimaumbile (dhaifu) hasa hawa wanawawake wa mjini.

Labda tuseme tu kwamba, mwanamke asikupelekeshe, suala la final say libaki kwa mwanaume, likiporwa na mwanamke ni mtihan
 
sawa nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…