Na nyie Wanaume mjitahidi muwe na uanaume ndani yenu. Unakuta Mwanaume Fala/Kapoa mpaka basi

Unachokipenda wewesio kila mwanamke anakipenda..
Kuna mwanamke mmoja nimewai kumpa kisago mpaka mama mwenye nyumba akaja kuamlia yule mwanamke hakurudi tena kwangu
 
Huyo mwanamke mwenyewe kazoea umalaya, hii ndo shida ya kuoa wanawake wasiobikra..hata umpe kitu gani bado ataenda kuminywa uko nje hawaridhikagi, asisingizie kwakuwa hapigwi makofi au mwanaume wake ni mpole sana, wazazi wetu wengi wameishi hujawahi kuwaona wanapiganaga hayo makofi na wamedumu kwenye ndoa miaka mingi. Vijana tujifunze kitu mwanamke yoyote asiye bikra usikurupuke kumuoa, kuna uchunguzi mwingi unabidi uufanye, hawa huwaga hawatunzi ndoa.

Wadada wengi wasiobikra watakuja kunipinga hapa lakini huo ndio ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namaanisha jamaa anayefanyiwa hayo, alfu pia mshikaji atakuwa hana hormone ya kiume ya kutosha (Testosterone).
Alfu huyo demu naye anaugonjwa wa akili, vitu ambavyo wanawake mnavikataa siku hizi yeye ndio anataka. Huyo ananifaa mimi... mwambie aje PM kama yupo JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti baba "Paroko"....wakati anakutongoza hukuona hayo??......ukiwa malaya hata ufanyiwe vipi....uko hivo hivyo.....mlipaswa kuishi sayari ingine....tuje huko mkiwa on heat......then tunaondoka na watoto wa kiume wote.....mnawezana wenyewe..shiiit....
Hatosheki hajielewi
 
Umenifurahisha sana hapo kwenye aya ya nne toka mwisho. Kuna mijamaa mingine hovyo kweli kweli. Ukianzisha mada ya kuwakosoa wanawake yenyewe inajifanya kuwatetea hata kwenye mambo ambayo ni dhahiri kabisa. Kazi kujipendekeza tu kwa wanawake ili lionekane jema kuliko wengine. Ukweli unatakiwa usemwe hata kama ni mchungu kiasi gani.
 
nliwah kumpiga mwanamke nkajikuta npo polisi nmelala
af yeye akarudi om akabeba vitu vyote akasepa
natoka polisi nakuta geto lnanichekea
nkamtafta nkampata mtaa wa 2 tuu apo kajaza chumba cha rafki ake na vitu vyangu nlimpiga kabali yani ile vaisi OG nmekunja ngumi et kanajibaraguza npige sasa.... yan kabla sjampiga nkimwangalia tuu naona kashajaa damu usoni meno 2 hana nkajikuta namuachia kwa huruma yangu tuu nkamwambia mama umeshinda af et anansindikiza na maneno

TOKA SKU HIYO sjawah tena kupiga wala sitakuja tena kupiga mwanamke asie na akili hata wewe mtoa mada ungekua wangu nisinge kupiga maana huna akili

kama mm left hand nna mfupa1 sasa we jixhomeke nkutie kilema

:NB kutokupiga mwanamke haimaanishi wewe ni fala

ndo nyie mnauliwaga kabisa kisa mnafanya makusudi ukitegemea mtu akupige af akupigi ila siku akichoka utahira wako anakutia visu

"nyie wanawake chukueni huu ushauri wake for your own risk!!!!
 
alafu nyie wanawake hata hamuelewek mnataka nini.. yan mtu akiwa mpole mnalalamika, akiwa mkali mnalalamika...anyway ngoja tusubirie hadi mwisho tuone

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…