Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
kwa kweli NN nimecheka sana leo...daaaahhh kwa nini wanakufanyia hivo!!!! hahaaaaaa nimeianza siku kwa kucheka leo
But seriously, mara nyingi tu the goods are not as good as they look. Which is more of a reason you should go for the brain than the tits, azz and face.
Words to the wise.
Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:
Most definitely..............
Kulikoni tena leo mkuu?
U never cease to amaze me son.
I thought u would never see it this way in a mill years!
Aaah bana wee...nimetoka zangu kazini nimerudi nyumbani....nikaanza kusumbuliwa na allergies...si unajua huku kwetu tuna matatizo ya pollen. Basi nikaamua kwenda zangu pharmacy pale Kroger kununua Zyrtec. Nikaamua kuangaza angaza kwenye aisles zingine kuangalia kama wana sales zinazoendelea. Ndio humo kwenye aisle nikakumbana na wadada wawili....nadhani wa Wadominican wale....bana weee yaani walivyokuwa wamevaa mtu mzima uzalendo ukanishinda ndugu yako. Waliponipita ikabidi nigeuke tena kuwaangalia huku nikiendelea kutembea. Kichwa kimegeuka nyuma huku naenda mbele. Nikajigonga kwenye nguzo moja ya zile price scanners za kuangalizia bei za vitu. Sasa mwili ulipogonga ile nguzo na kichwa nacho nikageuza na ndipo nikajibamiza pembeni ya paji la uso. Kwenye hiyo aisle walikuwepo jamaa flani wawili na wakaniona nimejigonga...wakaanza kucheka bana. Yaani noma kweli babu......
Dah...........Pole sana babu
Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:
Aaah bana wee...nimetoka zangu kazini nimerudi nyumbani....nikaanza kusumbuliwa na allergies...si unajua huku kwetu tuna matatizo ya pollen. Basi nikaamua kwenda zangu pharmacy pale Kroger kununua Zyrtec. Nikaamua kuangaza angaza kwenye aisles zingine kuangalia kama wana sales zinazoendelea. Ndio humo kwenye aisle nikakumbana na wadada wawili....nadhani wa Wadominican wale....bana weee yaani walivyokuwa wamevaa mtu mzima uzalendo ukanishinda ndugu yako. Waliponipita ikabidi nigeuke tena kuwaangalia huku nikiendelea kutembea. Kichwa kimegeuka nyuma huku naenda mbele. Nikajigonga kwenye nguzo moja ya zile price scanners za kuangalizia bei za vitu. Sasa mwili ulipogonga ile nguzo na kichwa nacho nikageuza na ndipo nikajibamiza pembeni ya paji la uso. Kwenye hiyo aisle walikuwepo jamaa flani wawili na wakaniona nimejigonga...wakaanza kucheka bana. Yaani noma kweli babu......sasa nina nundu halafu wikendi nayo ishafika....sasa hivi hapa nimejiwekea barafu na natumaini uvmbe utakuwa umepungua kufikia asubuhi.....