Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Ni mzanzibari. Hao ndio wanajua kiswahili huko Tanzania.Nyie wengine ni rrrrrrrrrrrr na zzzzzzzzzHuyo ndo NANI?
Ni mzanzibari. Hao ndio wanajua kiswahili huko Tanzania.Nyie wengine ni rrrrrrrrrrrr na zzzzzzzzz
Dah! Huu uzi bana, nimeusoma kimya kimya hadi nikajua tatizo lipo wapi. joto la jiwe leo ukileta mzaha jombaa, baada ya kuwaletea aibu wenzako watakuondoa hivi kwenye uzi huu.
Hahahahaha, mumeanza kuweweseka, poleni sana, mtaendelea kuweweseka sana, Tanzania inasonga mbele. Repoti ya CAG imesema hivi;
1) Kuanzia mwaka 2005 hadi 2017 ATCL ilipata hasara ya TSh 38B, hiki ni kipindi ambacho ATCL ilikua na ndege mbili chakavu, moja ilikuwa sio ya ATCL.
2)Katika kipindi cha kuanzia 2017 hadi 2018, ambacho ndio kipindi cha ukaguzi, sasa hivi ATCL hasara iliyobaki ni Tshs 16B, hii maana yake ni kwamba 48% ya deni limelipwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa hizo ndege mpya kuanza kufanya biashara.
3) Kwa hesabu za haraka, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu, ndege za ATCL zimetengeneza zaidi ya Tshs.12B, ambazo zimelipa deni la nyuma, deni lililobaki ni 16B.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaguzi unaangalia capital, capital inaathiriwa na loans[emoji102] Unajua tofauti ya hasara na deni kweli??
Tanzanians are demanding answers from their Supreme leader, who has been lying to them that ATCL is doing well.
According to the so called CAG report, it has been revealed that ATCL has in fact been hemorrhaging money, with no signs of recovery.
Kumewaka moto pale Jukwaa la Siasa.
It does not make sense. They say that they bought the planes with their own cash. Meaning the largest expense most airlines have to contend with, i.e. loans and lease repayments, is not there.
Where is the money going?
Ndege tatu na wameshindwa. Kama wangekuwa na ndege 40 kama KQ, ingekuwa disaster.
Hahahahaha, mumeanza kuweweseka, poleni sana, mtaendelea kuweweseka sana, Tanzania inasonga mbele. Repoti ya CAG imesema hivi;
1) Kuanzia mwaka 2005 hadi 2017 ATCL ilipata hasara ya TSh 38B, hiki ni kipindi ambacho ATCL ilikua na ndege mbili chakavu, moja ilikuwa sio ya ATCL.
2)Katika kipindi cha kuanzia 2017 hadi 2018, ambacho ndio kipindi cha ukaguzi, sasa hivi ATCL hasara iliyobaki ni Tshs 16B, hii maana yake ni kwamba 48% ya deni limelipwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa hizo ndege mpya kuanza kufanya biashara.
3) Kwa hesabu za haraka, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu, ndege za ATCL zimetengeneza zaidi ya Tshs.12B, ambazo zimelipa deni la nyuma, deni lililobaki ni 16B.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaguzi unaangalia capital, capital inaathiriwa na loans
No wonder unamshabikia Magufuli. Kwa akili hii one can't expect anything else from you and your like.
Siwezi kujibishana na wapumbavuUjinga kweli ni mzigo mzito na ni maradhi. Umetumia kanuni za uhasibu gani huo kufikia hiyo conclusion uliyoiandika hapa, wa ccm?
Only one thing you can expect from me for sure, to make your mum pregnantNo wonder unamshabikia Magufuli. Kwa akili hii one can't expect anything else from you and your like.
Only one thing you can expect from me for sure, to make your mum pregnant
Hakuna tofauti ya kununua cash wala lease kwenye kuangalia faidaIt does not make sense. They say that they bought the planes with their own cash. Meaning the largest expense most airlines have to contend with, i.e. loans and lease repayments, is not there.
Where is the money going?
Ndege tatu na wameshindwa. Kama wangekuwa na ndege 40 kama KQ, ingekuwa disaster.
Hakuna tofauti ya kununua cash wala lease kwenye kuangalia faida
Tatizo linabaki pale pale ATCL hawana plan nzuri ya kibiashara tu, isitoshe bado wanalipa madeni yao ya zamani
- With lease you state the amount of loan payment as an expense
- With cash you register the annual depreciation of a plane as an expense
Hahahahaha, watakucheka watu. Leasing is only if your capital is not enough, or your business is short term, other wise in all businesses, buying your own is more profitable.With leasing, you can get 20 planes for the price you spend buying one.
But ATCL Planes are all leased..Whats your problem?πππWith leasing, you can get 20 planes for the price you spend buying one.
HahahahahaBut ATCL Planes are all leased..Whats your problem?[emoji23][emoji23][emoji23]
But ATCL Planes are all leased..Whats your problem?πππ