Na Sisi tulio njee leo tuko online ushauri wako please haswa kwenye content creating

Kwa mfano ingekuwa wewe uko Ulaya au Asia unasoma environmental ungefanya content gani?
Content kama kuwapa watu tips za kujikinga na ajali zinazoweza kujitokeza kwenye mazingira yanayotuzunguka mfano kunga'twa na nyoka ,kujikwaa , au pia namna ya kufanya landscaping kwenye upandaji wa bustani zinazozunguka makazi n.k
 
Kwa mfano ingekuwa wewe uko Ulaya au Asia unasoma environmental ungefanya content gani?
Misitu tu chaka to chaka hakuna kingine elezea umri wa miti ninayokutana nayo huu una miaka 800 hata km sio 800 lazima uisikilize content yangu na lazima subscribe naa urudi tena, ni hivyo tu nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…