Kenge mmoja wewe hata hujui unataka Nini. Eti u some kilatini, level ya ujingabni kubwa kichwani kwako hutasoma chochote kiingie kwenye Hilo pakacha unaloita kichwa
kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
Naomba nikuulize! Nchi gani inazungumza Kilatini? Kiarabu kinazungumzwa nchi za Afrika ya Kaskazini na Mashariki ya Kati ambapo ukijumlisha wazungumzaji ni wengi sana.
Narudia, nitajie nchi inayozungumza Kilatini ambapo Watanzania watawasiliana na hao watu katika fursa mbalimbali!