yasri adam
New Member
- Dec 11, 2011
- 2
- 0
Namtafuta rafiki wa kawaida tu ila mwenye sifa zifuatazo;
1.awe muislamu
2.umri 15-20
3.Elimu kuanzia kidato cha na kuendelea
4.asiwe katika ndoa
5.awe mkarim
Title inasomeka "Tetesi". Kutafuta rafiki nako ni tetesi! Mweh!
pole..nenda facebook
Rafiki unamchagualia mpaka dini, elimu na marital status ili iweje? Maongezi ya kirafiki yanahusiana vipi na hayo yote unayotaka?
Namtafuta rafiki wa kawaida tu ila mwenye sifa zifuatazo;
1.awe muislamu
2.umri 15-20
3.Elimu kuanzia kidato cha na kuendelea
4.asiwe katika ndoa
5.awe mkarim
Rafiki unamchagualia mpaka dini, elimu na marital status ili iweje? Maongezi ya kirafiki yanahusiana vipi na hayo yote unayotaka?
mwenyewe nimeshangaa