Na tukutane mtoni.......

Na tukutane mtoni.......

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Mchungaji katika mahubiri yake akasema...kama ningekuwa na uwezo..bia zote ningezitupa mtoni,akazidi kuongeza na konyagi zote ningezitupa mtoni,hakuishia hapo akasema hata mbege,ulanzi,komoni,kibuku,msabe,dadii,gongo kimpumu,dengelua,utukuru...waumini woote wakabaki kimyaa.

Ulipofika muda wa kutoka akasema ....''wakati wa kutoka tutaimba wimbo namba.... ....unaoitwa,..Na tukutane mtoni...waumini woote wakashangilia kwa vigelegele na miluuzii.
 
♫Tutakutanika mtoni, watakatifu kwetu ni mtoni♫
 
Pumbav, HATA HUJUI JUKWAA GANI LINA HUSIKA NA NINI...

UNAJUA MAANA YA MMU WEWE??

#Chief Eng
????Pumbav????..Nashukuru sana,...Pengine ni tatizo la kiufundi utajuaje?...:????.....
Ila kwa kifupi,...mimi nina umri wa Baba au Babu yako,...Hivyo basi kuna uwezekano mkubwa mimi ndiye niliye mtoa bikira mama au bibi mzaa baba yako.
 
Kijana ana miaka 24 kasoro nashangaa anatukana wazazi wake...
 
Back
Top Bottom