Elections 2010 Na tuyatafakari haya ya Lowassa

Duh hiyo basi yaani TZ ana rasilimali kibao unaomba msaada badala ya wewe kubembelezwa ili kushare hizo resources (win-win). ndiye rais mtarajiwa huyo.......2015
 
Cha maana nenda jumapili 31 Oct kachague CHADEMA
 
Ni misaada ipi tuliopata?. Tumekuwa na shida ya umeme wa uhakika ni msaada gani tumeupata kupitia JK na wahisani. Nchi haindelezwi kwa misaada au wahisani. Hao ni wa kuchangia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…