Na ucheleweshwaji wa matokeo heslb.......click here

True seeker

Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
34
Reaction score
29
wasi wasi ndio akili hi ndio bongo land ni vitu ambavyo havina husiano kati ya kutangazwa kwa matokeo lakini hadi wakati huu hakuna kipya kwenye site yao. Nilishasema wizara husika inaitaji maandamano tukishinikiza wajiuzaru bila hivyo hakuna kitu kitachoendelea. siku zote ucheleweshwaji wa matokeo huja na utata kama mnakumbuka matokeo ya form six mwaka huu, Tusubirieni na heslb tuyaone wale wa priorit 0% Non priorit 100%.MI NASEMA MAISHA YANAKWENDA NA MIDA.Baada ya saa sita kamili mchana kama bado hawajayaweka kwenye website yao tuje na mawazo mengine wanajamvi na sio tuwe wavumilivu huo uvumilivu kwenye web site yao hajaweka sisi ndio tunasema.....Hasanteni
 
wewe naweee,,,kitu kinatoka saa 9 alasiri,,subiri uone,
 
Nimetoka sasa hivi hamna hata dalili ya web yao kuwa busy!!! Ngoja nikapige usingizi maana uck sijapata usingiz nikiwakodolea macho kumbe hamna kitu!
 
heslb wanazingua bax c wangechuna 2 ka walikuwa wanajua kwmb bdo hawajaweka ..habari gan hizi wana2alert afu hamna ki2..mi i thnk they r nat siriaz mkurugenzi unatangaza tena bila uwoga afu mambo bdo..nchi ishakuwa ya kike ka vp let us make movment 4 change.
 
Af humu ndani nyie ndo mnanitia pressure, nilikuwa frshy 2 ila kila nikija humu tunawekana rohoo juu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…