na wa ardhi basi tukutane hapa

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Binafsi nipo Bachelor of science in Building Economics so design tukutane na wengine wa ki-Ardhi university.
 
Industrial services engineering pamoja sana wakuu
 
vp mbona hiki chuo kina watu wachache hivi daah jitokezen mfahamike na tufahamiane aiseh
 
Haha haha haha khaaaaah hii kali

Ni kweli, wanasiasa huwa wanapenda kutumia enthusiasm ya vijana wa chuo kujinufaisha kisiasa na mara nyingine at the expense of future ya wanafunzi hao. Akili kichwani...
 
Mbona me sijayaona? Wamepost kwenye page ip?

We uko wapi wewe fungua akaunti yako ya CAS hlf nenda kwenye my profile fungua view my selection status utaweza ona ulikopangiwa
 
VISIT aru.ac.tz to know othr fellaz who have been admitted there and joining instructions available too... Jion njema
 
tujuzane basi utaratibu unaofuata ni upi, namaanisha katika swala zima la vyumba, na malipo mengine.
 
nenda pande za sua utakuta wa kutosha saaaaaana!!!

Hongera mkuu kama umechaguliwa pale pako mzuka xana ukipata main campus lakini kule mazimbu campus co kivile haya ukapige msuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…