Na wewe mwanaume kila mtu unataka kumjua na wewe kha

Na wewe mwanaume kila mtu unataka kumjua na wewe kha

MUREFU

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,331
Reaction score
352
Habare zenyu wanat hinker;

Ninamatumain yangu mu wazima na polen sana kwny pilikapilika za kuendelea kutafuta hiki na kile. Kama kawaida yangu nikiwa kwny kutafuta tafuta, nikiwa ninasubir panton ghafla nikiwa nimekaa nasinzia wakatokea watu wawili (njisia ya kike na yakiume) kwa muongekano wao walikuwa wanachuo na kama walikuwa wana mahusiano.

Katika ongea zao yule mwaname alikuwa anaulizia sana marafik wa kike wa yule msichana wakawa wanaongelea ndipo yule msichana akaona huyu mtu vipi mbona kila mtu anamuulizia na anaye mpenz ndipo akaamua kuropoka kwa saut WEWE VP UNAWATAKA NINI MBONA KILA MTU UNAMUULIZIA.

Je wana thinker hv mtu kumuulizia mtu ni vibaya?
 
Habare zenyu wanathinker! Ninamatumain yangu mu wazima na polen sana kwny pilikapilika za kuendelea kutafuta hiki na kile. Kama kawaida yangu nikiwa kwny kutafuta tafuta nikiwa ninasubir panton ghafla nikiwa nimekaa nasinzia wakatokea watu wawili(njisia ya kike na yakiume) kwa muongekano wao walikuwa wanachuo na kama walikuwa wanamahusiano. Katika ongea zao yule mwaname alikuwa anaulizia sana marafik wa kike wa yule msichana wakawa wanaongelea ndipo yule msichana akaona huyu mtu vipi mbona kila mtu anamuulizia na anaye mpenz ndipo akaamua kuropoka kwa saut WEWE VP UNAWATAKA NINI MBONA KILA MTU UNAMUULIZIA. Je wanathinker hv mtu kumuulizia mtu ni vibaya

Unamtaka?
 
Uje teena shangazi, uje teeena shangazi shangazi eee shangazi uje tena, shangazi uje tena shangazi shangazi eee shangazi!
Tufurahi shangazi, tufurahi, shangazi shangazi ee shangazi, tufurahi shangazi tufurahi shanagzai shangazi eeh shangazi!
 
Mabata madogo, madogo.

Yan hata hueleweki mdogo wangu!
 
tweeende tukawinde leo, tukawinde vipepeo.....
 
ckunyngne yacyokuhusu yapotezee..
 
I wrote a letter to my darlin bt she ddnt ans me.*2who is knockin at the door sister is knockinat the door, brother is knockin at the door .i know
 
Back
Top Bottom