GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Mkuu GENTAMYCINE miaka ya early 80's hii andishi lako limenikumbusha hii stori ......Mbona unakanyaga watu kama majani...wa pili Mbona wewe unasema...watatu heri mimi sijasema🙂
Tena kwa jinsi CCM ya sasa ninavyoiona na ninavyokutana na 'Waandamizi' kabisa huenda Siku wakachoka na kumuita ili 'Wamchambe' bila Aibu.