Na Wewe Unapinga Mabadiliko.....?

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,101
Reaction score
1,952
Wajameni,

Nimesoma "article" moja hivi karibuni ambayo mwandishi wake anasema watu wengi hatuendelei kwa kuwa tunang'ang'ania hali zetu za zamani. Anatoa mifano ya watu kupaka rangi nywele ili kuficha mvi, kunyoa nywele zote ili kuficha kipara, "plastic surgery" kuficha ngozi ya uzee n.k., n.k, n.k.

Mwandishi anadai kukubali mabadiliko ni mwanzo wa mtu kujitambua na kuendelea - ananukuu hadithi ya Bwana mmoja anaitwa Spencer Johnson inayoitwa "Who Moved My Cheese" (sitaki kurefusha bandiko, atakaehitaji kuisoma hiyo hadithi hata uki google utaipata -na kuna filamu yake pia). Kwa ufupi anasema mabadiliko hayakwepeki, kwa hiyo ni bora mtu ujipange namna ya Kuya -manage.

Maoni yako tafadhali.
 
True..TRUE..true!!
Watu hata kwenye mahusiano hua hawataki mabadiliko wakati yameshatokea na hapa ndipo wanapozaliwa wale VING‘ANG‘ANIZI...KUCHANGANYIKIWA...UKIWA...NA MACHOZI YASIYO YA LAZIMA!!
...nitafute kwa maelezo zaidi!!
 
95%ya wanadamu hawataki mabadiliko ndo maana watu hawapendi kufa,kuzeeka,kufilisika nk,kujitambu ni kitu kigumu sana kwa mwanadam,bahati mbaya ndo suluhisho la matatizo yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…