Naacha infidelity

  • Thread starter Thread starter RR
  • Start date Start date

MJ1 mbona hii vita unaipigana peke yako, halafu wanachama wetu wako pale ISC Pub na ZERO PUB wanapata vitu laini kwanza leo ijumaa kwahiyo tunaangalia wapi pa kupata INFIDELETEES wapya
 
Nakubali kuungana na wewe...twende pm basi...:smile-big:..kina teamo, asprin, kaizer watakuja, hangover zinawasumbua...
 
Ili hii dhamira iwe effective nahitaji maombi....wondering if sister gabriela is around...

Not in cases like this... !!:sorry:

Infi Askofu yaani fungu langu la kumi niliotoa wewe ndio unaenda kulitumia kwa Eliza

Burn in hell :A S-devil1::A S-devil1:!! Ila najua tatizo lako (puberty) 😛ray:😛ray: ndio maana una Kiherehere
 
Not in cases like this... !!:sorry:

Burn in hell :A S-devil1::A S-devil1:!! Ila najua tatizo lako (puberty) 😛ray:😛ray: ndio maana una Kiherehere

Tukutane baadae pale (ISC PUB) kuna valuer zako
 
MJ1 mbona hii vita unaipigana peke yako, halafu wanachama wetu wako pale ISC Pub na ZERO PUB wanapata vitu laini kwanza leo ijumaa kwahiyo tunaangalia wapi pa kupata INFIDELETEES wapya
Nilishasema jamani tuko askari wa aina nyingi- mie wa nchi kavu ndipo ambapo mashambulizi yanaonekana kiurahisi but sina wasiwasi kabisa na wale wa majini wakiongozwa na Capt. Smiles
 
Not in cases like this... !!:sorry:

Burn in hell :A S-devil1::A S-devil1:!! Ila najua tatizo lako (puberty) 😛ray:😛ray: ndio maana una Kiherehere

^^^^^Bia moja supu ya nini?^^^^^ :eyebrows::eyebrows::welcome:
 
Mimi mama Bele nimepoteza direction.........................
 
mimi nitakuwaje baba mchungaji bana, we si unataka ya wawili?? ntakupa mtu punguza papara!!

Hivi si ulisema wewe ni mchungaji??
 
Ukikua utaacha...

In the name of the almighty Lord!!

Tokea nikatishe kukuletea fungu la kumi na zaka Infi zako zimekuwa haziendi vizuri this time kwenye phase two tegemea kupata fungu la kutosha kwa ajili ya safari zako za infii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…