The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hapana tuna jopo la wachungaji ambao huomba kwa pamoja The Finest: Karibu
Roya hivi humwonei huruma Mamsap wako jamani? Au naye ni memba wa ISC?
Wala haujapotea direction barabara ni ile ile sema tu unapishana na magari mengi
Kumbuka tuna majopo ya jinsia zote mbili: So worry not utaombewa na Jopo la kina mama!Mimi nimezoea kufanyiwa maombi na ile jinsia nyingine hapo ndio upako unaniingia vizuri hawa wengine mimi huwa naona wananisukuma tu kwa nguvu ili nianguke chini nionekane nimepatwa na majini kumbe wapi
Mimi nimezoea kufanyiwa maombi na ile jinsia nyingine hapo ndio upako unaniingia vizuri hawa wengine mimi huwa naona wananisukuma tu kwa nguvu ili nianguke chini nionekane nimepatwa na majini kumbe wapi
Hahahahaha Roya sitaki kuamini kuwa umezidiwa maarifa.... Hivi Caren yuko wapi vile atukumbushie ile slogan yake!! Roya your wife is clever than you!Namwonea huruma sana na nampenda sana, tuko pamoja kwa karibia miaka 13...(ndo maana hajui, siku akisoma hapa nitakana kwa lugha zote)....
Sio memba wa ISC,kukmbuka mi ni katibu na nina majina wa membaz wote...
Hahahahaha Roya sitaki kuamini kuwa umezidiwa maarifa.... Hivi Caren yuko wapi vile atukumbushie ile slogan yake!! Roya your wife is clever than you!
Kumbuka tuna majopo ya jinsia zote mbili: So worry not utaombewa na Jopo la kina mama!
sio bure una lako jambo
hapana mimi si mchungaji.Hivi si ulisema wewe ni mchungaji??
naona kama kunguru achungiki/afugiki vile!Nakuruhusu unichunge....sawa?
kwan inasemaje iyo rule no 3?b4 sjaendeleaHalafu wewe....
Si unajua uko exempted kwa rule 3 ...?:A S 8:
kwan inasemaje iyo rule no 3?b4 sjaendelea
Ok, kwahiyo sasa Roya umeamuaje....?
Unahamia upinzani au unabaki huko kwenu......? :confused2:
Nitekelezeeni masharti yangu...
Kwani si uliamua mwenyewe kuja lakini....?
Sikumbuki kutuma invitation letter kwako....:confused2:
Au mnasemaje wenzangu MJ1, Beauty n the team....?
Huyu mtu kwani tulimualika....???