Brownj
Senior Member
- May 8, 2017
- 139
- 80
Heshima kwenu wakuu
Nmeajiliwa katika kampuni moja hapa dsm (secta binafsi) nmefanya nao kazi mwaka mmoja na miezi minne sasa natarajia kwenda kusoma baada ya kujichanga japo kwa hiki kidogo nilimaliza form six 2015 nikafaulu lakin sikuendelea na masomo baada ya semester ya kwanza kutokana na sababu za kiuchumi
Hivyo naombeni kufaham zaidi juu ya sheria ya stahiki zangu
Nimeshawapa notice ya mwezi mmoja lakin nawajua hawa wamewadhurumu wafanyakazi wengi sana so matumaini ya mimi kupata stahiki zangu ni madogo mno japo sina tatzo lolote nao wala Sina records za makosa au barua za maonyo (warning letter )
Kikubwa zaidi je kiinua mgongo hukokotolewa vipi maana nakutana na majibu ya kila aina nikiwauliza watu wa karibu yangu
Msaada wenu tafadhari na kama kama kuna nyongeza juu ya kitu cha kizingatia zaidi tafadhari usisite kuniongoza
Nawasilisha wakuu [emoji120] [emoji120] [emoji120]