Naacha kazi ya kuajiriwa

Naacha kazi ya kuajiriwa

Geitaboy

New Member
Joined
Jan 28, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Jamani mie naacha kuajiriwa naenda kupiga boda boda ushauri wenu jama pikipiki ni yangu.
 
Kuajiriwa income ipoje? Unategemea kupata zaidi ya hiyo income kama ukijiajiri mwenyewe?
 
Jamani mie naacha kuajiliwa naenda kupiga boda boda ushauliwenu jama piki piki niyangu
Sasa mkuu huyo aliyekuajiri una undugu naye au ulipataje ajira? Maana lugha tu unayotumia kuandika hata asiyeenda shule hatothubutu kuandika hivyo. Kuajiliwa=kuajiriwa

Ushauli=ushauri
 
Back
Top Bottom