G Geitaboy New Member Joined Jan 28, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Mar 11, 2021 #1 Jamani mie naacha kuajiriwa naenda kupiga boda boda ushauri wenu jama pikipiki ni yangu.
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,887 Reaction score 4,435 Mar 11, 2021 #2 Kila la kheri mkuu
Paula Paul JF-Expert Member Joined Oct 23, 2019 Posts 4,649 Reaction score 13,607 Mar 11, 2021 #3 Kuajiriwa income ipoje? Unategemea kupata zaidi ya hiyo income kama ukijiajiri mwenyewe?
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7,060 Reaction score 9,468 Mar 11, 2021 #4 Geitaboy said: Jamani mie naacha kuajiliwa naenda kupiga boda boda ushauliwenu jama piki piki niyangu Click to expand... Sasa mkuu huyo aliyekuajiri una undugu naye au ulipataje ajira? Maana lugha tu unayotumia kuandika hata asiyeenda shule hatothubutu kuandika hivyo. Kuajiliwa=kuajiriwa Ushauli=ushauri
Geitaboy said: Jamani mie naacha kuajiliwa naenda kupiga boda boda ushauliwenu jama piki piki niyangu Click to expand... Sasa mkuu huyo aliyekuajiri una undugu naye au ulipataje ajira? Maana lugha tu unayotumia kuandika hata asiyeenda shule hatothubutu kuandika hivyo. Kuajiliwa=kuajiriwa Ushauli=ushauri