mhh napenda kufikiri kwamba kuna uwezekano wa kupata vyote na sio kuchagua moja (kwenye mapenzi kuna sacrifices, kuvumiliana na compromise) ukiona inashindikana jua kwamba mapenzi yenu are not strong enough.., after all we are all humansHapo inabidi uchague moja.
mhh napenda kufikiri kwamba kuna uwezekano wa kupata vyote na sio kuchagua moja (kwenye mapenzi kuna sacrifices, kuvumiliana na compromise) ukiona inashindikana jua kwamba mapenzi yenu are not strong enough.., after all we are all humans
naam hilo ndio jibu la wapenda nao, na kama unapenda mwenza wako hautapenda abadili imani yake kwa ajili yako (unless anataka mwenyewe) cha maana ikiwezekana ni kufunga ndoa ya kiserikali na kila mtu kuendelea na imani yake (am sure God will forgive kumpenda mtu wa imani tofauti) so long as mengine unatenda mema kwa imani yako.usipobadili wewe, abadili yeye. Kama mna mipango ya kuoana na yote yameshindikana mtafunga ndoa ya kiserikali.
mhh napenda kufikiri kwamba kuna uwezekano wa kupata vyote na sio kuchagua moja (kwenye mapenzi kuna sacrifices, kuvumiliana na compromise) ukiona inashindikana jua kwamba mapenzi yenu are not strong enough.., after all we are all humans
katika dini ya kiislam hakuna ndoa ya kiserikali, ya kimila wala ya mkeka. Pia msichana muislam hairuhusiwi kuolewa na asiekua muislam. So mwanaume ndie wa kubadilisha dini otherwise hapo hakuna sacrifise or compromise.usipobadili wewe, abadili yeye. Kama mna mipango ya kuoana na yote yameshindikana mtafunga ndoa ya kiserikali.
Yeah kinacho-matter ni mapenzi yenu wawili na mlivyoshibana hizi pressure za ndugu na jamaa sometimes kama kuna uwezekano wa kufanya mambo na kutowakwaza au kufanya wawatenge basi ni bora kufanya hivyo, ila sio kuridhisha watu wakati wewe mwenyewe unajinyima furaha.Badili, ukishamuoa rudi kwenye imani yako!
I know a couple ambao wao walipendana ila wazazi ikawa issue, so mume alimfuata mke, wakafunga ndoa; then mke akamfuta mume na kufunga tena ndoa, baadaye kila mtu alibaki na imani yake!
mkristo wa dhehebu gani?Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.
katika dini ya kiislam hakuna ndoa ya kiserikali, ya kimila wala ya mkeka. Pia msichana muislam hairuhusiwi kuolewa na asiekua muislam. So mwanaume ndie wa kubadilisha dini otherwise hapo hakuna sacrifise or compromise.
katika dini ya kiislam hakuna ndoa ya kiserikali, ya kimila wala ya mkeka. Pia msichana muislam hairuhusiwi kuolewa na asiekua muislam. So mwanaume ndie wa kubadilisha dini otherwise hapo hakuna sacrifise or compromise.
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.