mkristo wa dhehebu gani?
Muache mtoto wa watu akaolewe na wenye dini inayofanana naye. Kama dini yako ni ya muhimu kuliko yeye sasa kwanini unalalamika. Wewe inaonesha ni mbinafsi, umejaa umimi. Ikiwa wewe huwezi kubadili dini, kwa nini yeye aweze kubadili dini yake?Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.
kuna baadhi ya madhehebu ya kikristo eg, catholic wananruhusu ndoa za dini tofauti (mseto) ila wananweka sharti la uhuru wa kuabudu na watoto, thats why nkauliza mkuuItasaidia nini ukujua dhehebu?
hizi imani katika mapenzi ni mtihani mkubwa kwa kweli.
kuna baadhi ya madhehebu ya kikristo eg, catholic wananruhusu ndoa za dini tofauti (mseto) ila wananweka sharti la uhuru wa kuabudu na watoto, thats why nkauliza mkuu
Hizi chuki za kidini zimeletwa na Waislamu now is time to pay back, haiingii akili Muislamu akose wanawake kwenye dini ya haki atake kuoa KAFIR!!...Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.
aaaaah wapi wewe hapo hakuna upendo tena coz tym yote hyo hakuona umuhimu wa dini hyo nisababu tu hapo niAchana nae tu kama huwezi kubadili dini.
Naimani kila mtu ana msimamo wake kiimani,
usitake kumpeleka kwingine kiimani kama usivyo
taka kwenda kwingine pia.
Jitahidi kumsahau,utapata mwingine.
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.
dah...kumbe wahanga wa haya mambo ni wengi eeh.....
jombaa.....we chagua kuchapa lapa......vinginevyo....oaneni ndoa ya bomani....