Badili, ukishamuoa rudi kwenye imani yako!
I know a couple ambao wao walipendana ila wazazi ikawa issue, so mume alimfuata mke, wakafunga ndoa; then mke akamfuta mume na kufunga tena ndoa, baadaye kila mtu alibaki na imani yake!
Yeah kinacho-matter ni mapenzi yenu wawili na mlivyoshibana hizi pressure za ndugu na jamaa sometimes kama kuna uwezekano wa kufanya mambo na kutowakwaza au kufanya wawatenge basi ni bora kufanya hivyo, ila sio kuridhisha watu wakati wewe mwenyewe unajinyima furaha.
Thats why it comes kwa mtu mwenyewe au watu wenyewe walivyoshibana, na imani zao (I hate to believe kwamba mtu utakuwa umeishi maisha yako vema na kutenda mema yote.., ila mwisho wa siku unaambiwa unakwenda jehanam, kisa ulioa / uliolewa na mtu asiye dini yako).
Vile vile kum-force mtu abadilishe imani yake tangia utoto ili tu awe na wewe sio kumtendea haki na ni kama kumyima haki yako ambao yeye ndio anaamini ndio njia bora.
Hizi chuki za kidini zimeletwa na Waislamu now is time to pay back, haiingii akili Muislamu akose wanawake kwenye dini ya haki atake kuoa KAFIR!!...
aaaaah wapi wewe hapo hakuna upendo tena coz tym yote hyo hakuona umuhimu wa dini hyo nisababu tu hapo ni
NO LOVE tu kama EMINEM
kiukweli hii nchi ina udini na ukabila,ingawa nyerere alitahidi ila hakufanikiwa to maxmum percentages! Leo hii ukipata mchumba atakuhulza wewe dini gani au kabila gani!
Ungefafanuwa mkuu unafki wangu ni upi? au siku hizi kusema ukweli ndiyo unafki? Muislamu na KAFIR wapi na wapi?Nyie ndio wale wanafiki!
au tungeuliza kwa upande wa pili. Yeye ana mpango gani nawe?kwani una mpango gani naye?
.. Kama mna mipango ya kuoana na yote yameshindikana mtafunga ndoa ya kiserikali.
Mkuu Marriage ni:- "The legal union of a man and woman as husband and wife", hivyo basi sio kwamba ni amri ya Mungu ndio sababu kuna ndoa za kiserikali.., hii ni status ya watu walio pamoja ambayo community zimejiwekea, na husaidia sana hata baadae inapokuja mambo ya divorce na urithi.Kwani kuna haja gani ya kuowana? Kuowana ni amri ya Mungu sasa hutaki amri yake si waendelee tu kuzini. Kwani wanachotaka hasa nini ikiwa wanalala pamoja na kuzaa wataweza kuzaa na hakuna mtu wa kuwaingilia?
Iwapo wanataka watambuliwe na dini na wazee basi wafuate taratibu, nayo ni kuungana kwenye dini moja na kama wanataka watambuliwe na Mungu basi kufuata dini zao ni kujigawa kwa Waungu wawili!
Halafu watoto watakua na kulelewa kwa imani ipi
does dini matters in love?
i gues so maana hata mimi niliwahi kumuacha mwanaume kwa sababu ya dini yake
ila sikumuacha kwa kumshtukiza,nilimweleza from the begining kuwa mimi sipo nae for future kwa sababu tunatofautiana dini kwa hiyo hata siku nilipomwambia its over alikua already aware japo hakutaka kukubali fujo za hapa na pale,vitisho vingi mambo kibao but end of the day he had to face the reality
Kwahio dini inaruhusu kuwa na mwanaume nje ya ndoa asiye dini yako ila tu msiwe pamoja kisheria ?, Anyway ndio maana nikasema hapa ni muhusika mwenyewe kutokana na imani zake na anavyojisikia ndio anaweza kuamua, ila isiwe mtu kuamua sababu ya shinikizo la mtu, community au ndugu na jamaa. Tena huyo jamaa aliokuja na vitisho nadhani uliepuka vingi sababu hio tabia ya kibabe yake inatisha zaidi na ingevunja mahusiano yenu kabla ya hizo tofauti zenu za imani
Indeed sio mbaya kutokana na imani yako na vigezo vyako uliweka umuhimu suala la imani na ni vema..., issue inakuja labda kwa watoto wako, au ndugu zako au rafiki zako, Je utawashauri wasifate kipenda roho sababu ya utofauti wa dini?hapana sio kwamba nilikua nipo kwenye ndoa, he was my boyfriend ila kwa sababu tulitofautiana dini niliamua kumtafuta wa dini yangu nikaachana nae na kuanza mahusiano mapya na huyu wa dini yangu ambaye nipo nae mpaka leo tupo kwenye mbio za harusi
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.
Indeed sio mbaya kutokana na imani yako na vigezo vyako uliweka umuhimu suala la imani na ni vema..., issue inakuja labda kwa watoto wako, au ndugu zako au rafiki zako, Je utawashauri wasifate kipenda roho sababu ya utofauti wa dini?
After all to me love comes before anything else.., ila pia kumforce au kumshawishi mwenza wako abadilishe imani yake ili muwe sawa ni Umimi na ubinafsi. Point yangu ni kwamba ninaamini na bado nitaamini kwenye mapendo mazito wawili wanaweza wakaishi kwa tofauti zozote (wakiamua) na wanapoamua sio vema community itake kuwabadilisha