Mohamedi mtamike
New Member
- Apr 6, 2012
- 2
- 0
Kwa Matola kabila ni tatizo kubwa siwezi kuowa mzaramo kila siku ngomani.Ukweli halisi dini ni kikwanzo kikubwa katika mahusiano na si kwamba masikia tu bali hata mimi nimekubwa na mkasa huu na kutana na wapenzi wa kristo na wisho huwa ni tofauti za kidini so nazani ni bora muislam ampende muislamu .kwa ushauli wangu kama unapenda kuishi na kufulahia fulsa ya mapenzi kwa mpenzio tafuta dini yako na makabira co tatizo sana
Kwa Matola kabila ni tatizo kubwa siwezi kuowa mzaramo kila siku ngomani.
Huna haja ya kuolewa na kafir
dini gani hiyo inayokwambia ukristo ni kafir, I thought are people fo the book
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.

fungeni ya serikali kama kila mtu hataki kuacha dini yake