Naaga ramsi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Jf member nawaaga sasaivi rasimi nitakuwa bize kidogo, na kama mkiona nimepost nipo pale niiteni mbwa huku nakula uyoga.

Sitopost ujinga wowote, nimepewa husia sana leo kuwa nirudi kwenye ubora wangu hivyo sina budi. Maana ni kweli nimepoteza marafiki humu ambao walikuwa wananikubali sana kwasababu tu ya comment za kijinga jinga, unacomment ukidhani unafurahisha watu kumbe nawapoteza marafiki.

Unaweza amini nimekosa teuzi sababu hii?

So, nabadilika rasimi.
 
Naona siku zako za mwisho duniani zinakaribia pole mkuu msalimie bwana yesu
S
 
Naamini ukirudi utaboresha pia aina yako ya uandishi. Fanyia kazi maneno yaliyowekwa wino mzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…