mmh...nadhani amekuwa mstaarabu sana kukwambia ukweli. Angekudanganya ungeandika thread tofauti hapa...kubaliana na hali halisi kaka!
ndio ivo anamtu sasa amuache jamani kisa wewe umempendayenyewe kafanya vizuri lakini vile nahisi huyu ndie ameniridhi hisia zangu kwa huyu ziko tofauti yani ameniingia moyoni kishenzi.
yenyewe kafanya vizuri lakini vile nahisi huyu ndie ameniridhi hisia zangu kwa huyu ziko tofauti yani ameniingia moyoni kishenzi.
pole sana
Kuna bint niliyejuana naye kwa mda sasa,ni binti ambaye anayetumiwa kama mfano mwema katika mtaa wangu,si uzuri wa sura 2,tabia,heshma na myenendo,ni msimple sana.nimemtongoza ivi juzi akanambia labda niwe 2 rafikiye wa karibu kwani nimechelewa ako na mpenzi!kwa kweli nampenda sana na moyo wangu umekataa ukweli wa mambo hata kufikiria kuachana naye pekee huniumisha kichwa,ningefurahia kuwa naye maishani,msinione mbinafsi ni moyo wangu naufwata nisaidieni wana jf nifanyeje ndo ni mpate?
mwache ataionja shubiri yake ama afilisiwe au awe anahudumia watu wawili(huyo dada na mchumba wake)Yaaani,hayajui matokeo yakulazimisha penzi...
endelea kuwa rafiki yake wa karibu... there is a lot of other things you can enjoy together na wala si lazima kila uhusiano wa jinsia hizi mbili uishie kwenye kutongozana