Naambiwa nimechelewa

Utazoea 2,mbona mimi j.wolper kankataa na thatha nmezoea,natafuta mwingne yeyote wa kike atakayenpenda.
 
Shukran kwa mawazo yenu aki wengi wenu nikama mulijua yaliyomo akilini mwa huyo binti mana kanitumia leo hii meseji inayo sema; ''plz Fazul i dint mean 2 hat u plz,iz just a matter of reality,am sori i told u i have a mpenzi,2 b sincere i dont hav lakini am stil mourning in ma hrt coz da scar my x-bf left is stil there.it is not dat i dont lov u,i take u as da closest friend with whom i can share anything.'' nilipo pata meseji hii nilimpigia na vile anavyo ongea anataka uhakikisho tu wa kuwa nampenda naniwe tayari kumuondolea kovu aliloachiwa na x wake.
 
anataka uhakikisho tu wa kuwa nampenda naniwe tayari kumuondolea kovu aliloachiwa na x wake.

hivi huwa hakuna watu wenye nostalgia na kumbukumbu nzuri ya mahusiano yaliyopita? watu wanazungumzia 'makovu' ya ma-EX tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…