DYLM future billionaire
Member
- Dec 28, 2015
- 69
- 149
Njoo tushirikiane kibiashara zaidi ,uwe tayari kuchukua hatari (kulipa gharama ya mafanikio unayoyatamani).
Naamini watu wengi wana mawazo ya biashara ila hawana mitaji,naamini Watu wana fedha za mitaji ila wanahofu,au kuogopa kupoteza pesa zao.,kwa sababu hawana maarifa na biashara husika.
Hivi ulishawahi kujiuliza unataka mafanikio ya kifedha ya kiwango kipi? USD 1 million? USD 10 millions? USD 100 millions? USD 1 billion? USD 10 billions? USD 100 billions au zaidi?
Je uko tayari kulipa gharama ya hayo mafanikio unayoyataka? Au unadhani utayafikia ukiwa hapo hapo ulipo ? Kazini kwako hapo? Kwenye biashara yako hiyo? Au hizo mishe unazofanya?
Una mtandao wa watu wangapi unaoshirikiana nao? kufikisha hizo ndoto zako? Au unajisahaulisha ile mithali ya wahenga ? Kidole kimoja hakivunji chawa?...umefikia hatua ya kutoamiani kila mtu...awe mkeo,ndugu,Jamaa na marafiki huwaamini tena.kisa tu kuna mmoja wao alipoteza fedha zako ?
Umesahau inabidi ulipe gharama ya mafanikio unayoyaendea.? Kadiri unavyoamua kutafuta mafanikio makubwa...kumbuka utakumbuna na changamoto ngumu na kubwa sana hasa kwenye swala la fedha.
Amin hakuna safari isiyo na changamoto hasa hiii ya kutafuta uhuru wa kifedha( utajiri)..ndo maana masikini ni wengi kwa sababu hawako tayari kulipa gharama iliyoko nyuma ya USHINDI WA MAFANIKIO.
Gharama ya kulipa ni kukubali kushindwa,kushindwa,kushindwa,tena na tena.....na kuanza upya tena... Hakuna kitu utakachoanza kwenye utafutaji mali harafu uende vizuri tu mwanzo hadi mafanikio... Hapana...hapo kati kati ya safari utakutana na kushindwa kwingi sana...unatakiwa kukubali harafu anza upya.
Naomba wazo lako...la biashara...nikilifanyia Kazi na likanilipa...niamini nitakuja kukushukuru hapa,pia nitakushukuru ana kwa ana.
Naomba kama unapesa zako zipo tu benki...umeziweka..usiogope njoo tufanye biashara nitakupa 7% kwa kila mwezi kama faida ya pesa utakayo wekeza kwangu.mikataba ya kisheria ipo wazi utaweka pesa zako na utapata faida kila baada ya miezi mitatu.Nina uzoefu na hii biashara naifanya na nitaendelea kuifanya na watu wachache wenye mawazo chanya tu.
Nafahamu biashara inachangamoto nyingi sana...unavyotarajia inaweza kuwa ndivyo sivyo...ndo maana tumeweka miezi mitatu unapewa faida ya pesa yako uliyoweka ambapo ni 7% kila mwezi.
Maana mwezi huu biashara inaweza ikakwama kuleta faida yoyote...ila mwezi ujao...ukapata faida karibu 10% hadi 15% ya mtaji.ndo maana nikaweka kipindi cha miezi mitatu unapewa faida yako.
Kiukweli.hofu,uoga na kukosa uaminifu ndo vinapelekea watu wengi kubaki hapo walipo...wanashindwa kujaribu vitu vipya kila wakati ili kupata maarifa zaidi na kupanua wigo zaidi kuelekea kwenye mafanikio unayoyataka.
Weka pesa benki ile ya dharura na akiba tu,usiweke pesa benki kisa unaogopa biashara ...nenda mtaani ,kafanye biashara,nenda kalimi, Mpanda,Morogoro Ifakara,..nenda kavue hata Dagaa,au samaki huko ...pesa yako izunguke na kukupa faida. Ondoa hofu.(bora ipotelee Kwenye biashara utakuwa umejifunza )
Kiukweli kwenye ujasiriamali na biashara unaweza kufa kwa presha tu...maana unaweza ukapoteza pesa hadi ukajishangaa...na kuhisi umerongwa...ila kama unajua ndoto zako na maono yako...kila.changamoto utakayokutana nayo itakuwa ni ngazi ya kupanda kuelekea kwenye mafanikio.
Karibu kwa maswali,ushauri,maoni,na ushirikiano niliokuomba. Ni Pm au hapa hapa...kuwa huru kwa uchaguzi.