Ngerengere1
Member
- Oct 19, 2017
- 45
- 38
salama na amani iwe kwenu LC
Kutafuta na kuchagua mwenza si kazi ndogo kama wengi wanavyochukulia kwa kuwa naamini inawezekana ikawa muendelezo wa furaha yangu ambayo nimeihangaikia kwa miaka mingi mpaka kufika hapa nilipo au ikawa kinyume chake yani inawezekana ikawa mwanzo wa mateso, kujuta na kupoteza furaha ya maisha ambayo nimeihangaikia kwa muda mrefu sanaa mpaka kufikia hapa nilipo.
Naamini mchumba anatafutwa na anapatikana popote pale hasa unapopaamini kuwa utampata anaekufaa kuendana na maitaji yako,
kwa kuzingatia mazingira yanayomzunguka mtu yanaweza yakachangia kiasi kikubwa sanaa kujenga tabia ya mtu, kwa kuzingatia hayo yote naamini LC ni mahali sahihi ambapo naweza nikatimiza hitaji la moyo wangu.
Wengine watajiuliza kwanini nimekuja LC inamaana sehemu nilipo wanawake wenye sifa tajwa hawapo?
Jibu ni kuwa, naamini wapo wengi tuu ila nimeamua kuanza safari yangu humu huku nikiamini kuwa wapo wenye sifa ninazoziitaji.
Sifa zangu
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 30 na nina sifa ya urefu wa wastan, ni mweusi kiasi bila kusahau ni muhitimu wa elimu ya juu ambae pia ni muajiriwa ila mbali na kuajiliwa nimejiajli pia. Najivunia kupenda kwa vitendo yani nikipenda huwa namaanisha haswa, mvumilivu sanaa kwenye mambo ambayo yanaitaji uvumilivu, kwaufupi hutojilaumu kwa uamuzi wako wa kuwa na mimi.
Hitaji la moyo wangu ni kumpata mwenza ambaye atakuwa mama watoto wangu kama mwenyezi mungu atajaalia kuwa hivyo, sambamba na hilo ni kuwa na mwanamk e ambaye atasimamia, ataziendesha na kuhakikisha shughuli za nyumbani na oficn kwangu ambapo nimejiajili zinasonga hata kama sitakuwepo.
Sifa za mwanamke ninaemuitaji
1. Awe na elimu ya form iv au zaid ila awe na angalau short course ya computer application, business management au course zinazofanana na hizo.
2. Asiwe muajiliwa.
3. Awe mwenye upendo wa kweli.
3. Awe mweupe, ila sio kigezo kikubwa sanaa hata mweusi itapendeza pia.
4. Napenda kula vya nyumban hasa itapendeza zaid kama akivipika mkewangu hvyo sio mbaya akiwa anajitahidi kupika vitamu na vizuri
5. Awe na upendo kwa ndugu zangu hasa wazazi na wadogo zangu.
6. Awe msafi na awe mbunifu wa kuvaa kwa sababu napenda mkewangu kila siku awe mpya na muonekano wa kuvutia
Kwa mwenye vigezo na ambaye yupo tayali, DM kwa maelezo na mawasiliano+ picha.[emoji120]