BENNICK
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 634
- 866
Habari ya jioni wanajukwaa.
Mimi ni kijana wa kiume. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti ambaye nilipanga aje kuwa mke lakini nasikitika shetani katia mchanga kwenye mahusiano yangu. Long distance was an issue, sasa hivi ninavoongea ni mja mzito na mwenye mimba si mimi.
Nimekuja hapa nahitaji rafiki wa kike ambaye Mungu akipenda baada ya kufahamiana vizuri na kukubaliana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu
1. Umri- 27 mwenye akili timamu, iliyokomaa na ninajitegemea.
2. Rangi - Mweusi
3. Kimo- Cha kati, si mfupi wala mrefu sana
4. Kazi- Mwajiriwa sekta binafsi na nimejiajili pia kwenye kilimo na mifugo.
5. Elimu- BSc....
6. Dini- Mkristo
7. Umbo- wastani ( sina kitambi)
8. Sina mtoto
9. Mwenye upendo wa dhati
10. Sina uwezo mkubwa sana kifedha ila ninajimudu kiuchumi na ninaweza kusimama kama baba nikatimiza majukumu.
11. Situmii kilevi cha aina yoyote
12. Nyingine tutazidi kufahamiana
Sifa za mtarajiwa
1. Umri- 23 hadi 27. (Nitaomba awe honest hapa)
2. Umbo- La kati au mwembamba ( vibonge mtanisamehe)
3. Elimu- Walau kidato cha nne
4. Dini - Mkristo hai( itapendeza kama anasali kanisa la TAG, EAGT au Kanisa lolote la Pentecost)
5. Asiwe na mtoto
6. Rangi- yeyote sawa
7. Asiwe anatumia kilevi cha aina yoyote
8. Awe mtu anayependa maisha ya uhalisia na sio βDrama queen"
9. Mwenye staha, uvumilivu na msikivu. mabishano na jeuri havijengi.
10. Mwaminifu katika mahusiano na kama ulishakuwa na mtu hakikisha mmeachana kabisa ili usije kwangu nusunusu.
11. Mkarimu mwenye kupenda ndugu ( wa kwake na wa kwangu pia)
12. Msafi na anayejitunza
Kwa mwenye 90% ya sifa tajwa hapo juu Karibu .
Ahsanteni
THREAD CLOSED